Kura za Wabunge wa CHADEMA mkoa wa Tanga
Matokeo ya Kura katika Uchaguzi Mkuu 2005 kwa Wagombea Ubunge wa CHADEMA katika mkoa wa Tanga.
Tumeorodesha jimbo, jina la mgombea ubunge, kura alizopata na asilimia ya kura hizi katika kura zote
CHADEMA iliyopata kwa wabunge wote.