Kura za Wabunge wa CHADEMA mkoa wa Ruvuma
Matokeo ya Kura katika Uchaguzi Mkuu 2005 kwa Wagombea Ubunge wa CHADEMA katika mkoa wa Ruvuma.
Tumeorodesha jimbo, jina la mgombea ubunge, kura alizopata na asilimia ya kura hizi katika kura zote
CHADEMA iliyopata kwa wabunge wote.