lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Habari za Uchaguzi
»Matokeo Kiteto 2008
»Jiandae kwa 2009
»Jiandae kwa 2010
»Daftari Wapiga Kura
»Ilani ya 2005
»Utekelezaji wa Ilani
»Ripoti ya Uchaguzi
»Gharama za 2005
»Matokeo kura Urais
»Matokeo Ubunge
»Matokeo kimkoa
»Muungano upinzani
»Gombea Ubunge
»Gombea Udiwani
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2

Mapato
1.Ruzuku kutoka Serikalini22,770,712
Agosti mpaka Novemba  
2.Michango ya Wanachama na Wapenzi wa Ndani246,723,543
3.Michango ya Wahisani wa Nje ya Nchi83,500,000
Conservative Party 
4.Mikopo ya Wanachama na Wapenzi wa Ndani399,574,543
 Jumla752,568,798


Matumizi
1.Gharama za Helikopta223,030,726
Kukodisha helikopta186,500,800
Mafuta ya helikopta31,057,786
Vibali, Kodi viwanja vya ndege, Uendeshaji n.k.5,472,140
2.Kampeni kupitia vyombo vya habari 60,576,450
Malazi, chakula na posho za waandishi wa habari21,186,050
Matangazo kwenye luninga, radio na magazeti39,390,400
3.Nyenzo za Kampeni61,363,660
Machapisho - mabango, vipeperushi 51,113,500
Nyenzo za kampeni - bendera, fulana8,580,000
Gharama za uchapishaji Makao Makuu1,670,160
4.Gharama za Vikao vya Uteuzi87,386,659
Kura za awali (Primaries)43,490,959
Kamati Kuu, Baraza Kuu & Mkutano Mkuu43,895,700
5.Misaada ya fedha taslim kwa Wagombea Ubunge59,250,000
6.Gharama za Usafiri160,558,084
Kukodisha magari 35,580,000
Kununua magari 79,200,000
Matengenezo ya magari15,867,850
Mafuta ya magari26,725,234
Usafiri wa ndege3,185,000
7.Uendeshaji wa Makao Makuu kipindi cha Kampeni17,500,000
8.Gharama za kuendesha mikutano68,615,000
Kukodisha vipaza sauti 44,095,000
Kununua Majenereta kwa ajili ya mikutano17,720,000
Kununua vipaza sauti kwa Wagombea Ubunge6,800,000
9.Gharama za Simu/Mawasiliano1,112,000
10.Gharama za Mazishi1,300,000
11.Posho za Watendaji wa Kampeni7,780,000
12.Malazi na chakula kwa Watendaji wa kampeni5,021,826
13.Gharama nyinginezo292,100
 Jumla 753,786,505



Chama cha Mapinduzi kimepata kigugumizi na kimeshindwa kukanusha tuhuma kwamba kilitumia zaidi ya shilingi bilioni 40 (40,000,000,000,000) katika kampeni za Uchaguzi wa 2005. Aidha, Chama cha Mapinduzi kimekuwa kikipinga kwa nguvu zake zote mabadiliko yeyote kwenye sheria za uchaguzi ambayo yataweka ukomo wa matumizi ya fedha katika kampeni. Huu ni mkakati wa makusudi kabisa wa chama hiki cha mafisadi wakuendelea kung'ang'ania madaraka kwa kuhakikisha uchaguzi hauwi wa huru na haki.

lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl