lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Habari za Uchaguzi
»Jiandae kwa 2010
»Jiandae kwa 2009
»Ilani ya 2005
»Utekelezaji wa Ilani
»Ripoti ya Uchaguzi
»Gharama za 2005
»Matokeo kura Urais
»Matokeo Ubunge
»Matokeo kimkoa
»Muungano upinzani
b.part

Maelelezo ya taratibu za Uendeshaji wa Uchaguzi ndani ya chama

Ngazi ya Msingi na Tawi (Katiba ya chama ibara ya 11.1)


I.  Utangulizi

Kwa mujibu wa azimio la Mkutano Mkuu wa Agosti 2006, na azimio la Baraza Kuu la tarehe 18/12/2007, mwaka 2008 utakuwa ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama.

Ratiba ya uchaguzi ambayo imeandaliwa na Baraza Kuu la chama katika kikao chake cha tarehe 18/12/2007 ni kama ilivyo hapa chini:-

 

Ngazi ya Chama Tarehe ya Kuanza Tarehe ya Kumaliza
1
Msingi (miezi miwili) 1/2/2008 31/3/2008
2
Matawi (miezi miwili) 1/5/2008 31/6/2008
3
Kata/Wadi (mwezi mmoja) 1/8/2008 30/8/2008
4
Jimbo (wilaya jimbo moja) (siku 20) 1/10/2008 20/10/2008
5
Wilaya (zaidi ya Jimbo moja) (siku 10) 20/11/2008 30/11/2008
6
Mikoa (siku sita – 6) 5/12/2008 10/12/2008
7
Kanda (majimbo) Maelekezo kutolewa baadaye
8
Kamati Kuu (siku ya Ijumaa) 12/12/2008 -
9
Baraza Kuu (siku ya Jumamosi) 13/12/2008 -
10
Mkutano Mkuu (siku ya Jumapili) 14/12/2008

 

Uchaguzi wa chama utafanyika kwa mujibu wa katiba mpya ya chama toleo la 2006 pamoja na kanuni zake.



lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl