lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Mengineyo
»Matamko mengine
»Habari Mpya
»Makala mbalimbali
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2

MAKAMBA ACHA KUPOTOSHA WATANZANIA

  1. Watanzania wanataka maendeleo, wamechoka propaganda na blabla!
  2. Lowasa mkamate Makamba kwanza.

Utangulizi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinapenda kutoa tamko kufuatia kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Mh Luten Yusuph Makamba wiki jana alipokuwa katika ziara yake ya kampeni wilayani Karatu ambapo alikuwa akihamasisha watanzania waliopo Karatu wajiunge na CCM kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na gazeti la Nipashe la Septemba 25, 2006.

Makamba alisema nini?

Katika mkutano wake huo wa kampeni Makamba alisema kuwa Karatu sio ngome ya CHADEMA kama inavyoaminiwa na watanzania wengi na kwamba takwimu za matokeo zinaonyesha kuwa kuna tofauti ndogo kiushindani kati ya wagombea wa CHADEMA na CCM katika kura za ubunge, udiwani na Urais na hivyo wanakaratu wanapaswa kujiunga na CCM.

Nini kilipotoshwa?

Kimsingi kuna mambo kadhaa ambayo Mh Makamba alipotosha ama kwa maksudi au kutokana na uelewa mdogo wa mazingira ya kisiasa nchini sanjari na mtazamo finyu kuhusu nini wananchi wanahitaji ili wajiunge na chama cha siasa kama ifuatavyo,

Kwanza Mh Makamba anapaswa kuelewa kuwa pamoja na hujuma na uzandiki wa kimfumo na ukiritimba wa chama chake, CHADEMA kimekuwa kikishinda kiti cha ubunge katika chaguzi zote tatu tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini.

Lakini pili kati ya chaguzi zote tatu, CHADEMA, chama kilichojengwa kwa muda mfupi kimeweza kukishinda chama cha mapinduzi katika chaguzi mbili kwa kuchukua halmashauri huku kiti cha ubunge kikiendelea kumilikiwa na CHADEMA.

  Inaendelea ...

lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl