lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Mengineyo
»Matamko mengine
»Habari Mpya
»Makala mbalimbali
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2

UTANGULIZI

Tamko hili linatoa taarifa ya timu ya kampeni ya mgombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu mapungufu, mafanikio, mapendekezo na mwelekeo kuhusiana na mchakato wa uchaguzi husika.

Novemba pili mwaka 2006 wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walichagua kwa niaba ya watanzania wabunge wa kuiwakilisha nchi yetu kwenye bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki.

Mchakato wa uchaguzi huu ulianza rasmi mapema mwezi Septemba baada ya katibu wa bunge kutangaza nafasi kuwa wazi na kupeleka barua kwa vyama kuteua wagombea.

CHADEMA kilishiriki katika uchaguzi huo toka mwanzo mpaka mwisho wa mchakato wa uchaguzi huu.

CHADEMA ilianza kwa kutangaza kwa uwazi kwa wanachama wake katika ngazi mbalimbali kujitokeza kugombea nafasi za ubunge wa Afrika Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA. Wanachama mbalimbali walijitokeza kuomba na kamati kuu iliketi Oktoba 27 mwaka huu kufanya uteuzi wa wagombea ambapo wagombea wawili waliteuliwa mmoja katika kundi la wanawake na mmoja katika kundi la vyama vya upinzani. Mgombea wa kundi la wanawake alijitoa katika hatua za awali kabla ya jina lake kuwasilishwa kwa msimamizi wa uchaguzi.

Hivyo CHADEMA iliwasilisha jina la mgombea mmoja katika kundi C la vyama vya upinzani Profesa Mwesiga Baregu. Timu ya kampeni iliundwa kwa ajili ya kuratibu kampeni za mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi huo.

Lifuatalo ni tamko la timu ya kampeni za mgombea wa Afrika ya Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA kuhusu uchaguzi huo.

  Mapungufu...

lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl