lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
Jihusishe
»Tuunge mkono
»Tafadhali Tuchangie
»Jiunge Uanachama
»Anzisha Tawi
»Gombea Udiwani
»Gomba Ubunge
»Ifahamu Katiba
»Ifahamu Itikadi
b.part
Mengineyo
»Habari Mpya
»Matamko ya Chama
»Makala mbalimbali
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
»Katuni
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2

Chimbuko la Msingi wa CHADEMA


  • Ukiwa na wanachama wasiopungua nane unaweza kuanzisha Msingi katika eneo la kitongoji au mtaa. USISUBIRI!


  • Si lazima kuwa na ofisi! Hata nyumbani kwako au kazini kwako kunatosha kuanzia.


  • Kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa kwanza wa kikatiba katika Msingi wenu mnaweza kumchagua mmoja wenu mwenye sifa za uongozi kuwa mratibu kwa kipindi cha mpito.


  • Kama katika kitongoji au kijiji kizima hakuna tawi la CHADEMA, Msingi ulioanzishwa waweza kuratibu shughuli za chama kijiji kizima na hivyo kuwa na sifa ya tawi kamili.


  • Tawi litaundwa pale ambapo kuna misingi miwili na zaidi, lakini lengo ni kuwa na msingi kila kitongoji au mtaa.


  • Mnaweza kufanya mikutano ya hadhara ya chama. Toeni taarifa kwa mkuu wa polisi wa wilaya au ofisa mwandamizi wa polisi na nakala ya taarifa pelekeni kwa mtendaji wa kijiji au mtaa sio chini ya masaa 48 kabla ya mkutano.


  • Mikutano ya ndani na ya wanachama haihitaji kutoa taarifa polisi.


  • Sheria inawaruhusu kupeperusha bendera ya chama kwenye Msingi na Matawi yenu na hamhitaji ruksa ya mtu yeyote kupeperusha bendera ya chama.


  • Vifaa vya kazi bendera, katiba, kadi, vipeperushi, fulana n.k. vinapatikana katika ofisi ya chama ya wilaya, mkoa na taifa. Mnashauriwa kuwasiliana na ofisi husika mweze kusaidiwa. Ili kuimarisha chama, mnaweza kutakiwa kuchangia gharama kidogo ya utengenezaji.


Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya wilaya au mkoa au tuandikie makao makuu.

lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl