lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
Seza Zingine
Sera ya Afya
Sera ya Ajira
Sera ya Ardhi
Sera ya Biashara
Sera ya Demokrasia
Sera ya Elimu
Sera ya Kilimo
Sera ya Madini
Sera ya Maji
Sera ya Mazingira
Sera ya Michezo
Sera ya Mifugo
Sera ya Miundombinu
Sera ya Rasilimali
Sera ya Uchumi
Sera ya Ulinzi
Sera ya Utamaduni
Sera ya Utawala
Sera ya Utawala Bora
Sera ya Vijana
Sera ya Viwanda
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2
Sera ya Utamaduni

Hali ikoje?

  1. Utamaduni wetu wa asili unadharauliwa na kuharibiwa na tamaduni za kigeni.
  2. Mapato yatokanayo na kazi za kisanii hayalindwi ipasavyo na sheria.
  3. Watanzania wengi hawajui kuzungumza kiswahili fasaha – Kiswahili kama lugha ya Taifa hakipewi mkazo unaostahili.

Serikali ya CHADEMA itafanyaje?

  1. Sheria za hatimiliki zitaboreshwa - adhabu kali zitatolewa kwa wakiukaji na fidia kubwa kwa waliodhulumiwa.
  2. Itaagiza kila halmashauri ya wilaya kuanzisha maeneo ya makumbusho ya mila na desturi zetu.
  3. Itaagiza balozi zetu kuendesha shughuli za kukuza kiswahili na kuonyesha utamaduni wetu wa asili kama kivutio kwa watalii.
  4. Baraza la Sanaa la Taifa litapatiwa majukumu na uwezo wa kuendesha mashindano ya ngoma zetu za jadi kitaifa kila mwaka.
  5. Itaweka mkazo wa kipekee kwenye lugha ya Kiswahili - Uswahili ndiyo umoja wetu na ndiyo utambulisho ulio wazi wa Watanzania.
  6. BAKITA itaimarishwa kwa kupewa nyenzo za kazi na wataalamu zaidi.
  7. Tutafungua mjadala wa kuona jinsi ya kutumia kiswahili katika kutoa elimu kwa Watanzania.
lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl