lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
Seza Zingine
Sera ya Afya
Sera ya Ajira
Sera ya Ardhi
Sera ya Biashara
Sera ya Demokrasia
Sera ya Elimu
Sera ya Kilimo
Sera ya Madini
Sera ya Maji
Sera ya Mazingira
Sera ya Michezo
Sera ya Mifugo
Sera ya Miundombinu
Sera ya Rasilimali
Sera ya Uchumi
Sera ya Ulinzi
Sera ya Utamaduni
Sera ya Utawala
Sera ya Utawala Bora
Sera ya Vijana
Sera ya Viwanda
b.part
Mengineyo
»Habari Mpya
»Makala mbalimbali
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
b.part

Sera ya Uchumi - Sekta ya Kodi

lf.bevel rt.bevel
Sera ya Uchumi
Uchumi wa Takwimu, Umasikini bado kibao! Serikali ya CHADEMA itafanyaje kuwafanya WATANZANIA WOTE wafaidi matunda ya kukua kwa uchumi?
lf.bevel rt.bevel

Kodi nyingi na za kificho, hali gani hii?

  1. Kodi nyingi ni za kificho au kinyemela – mfano sukari yaweza kuwa na bei ndogo sana iwapo kodi kadhaa katika bidhaa zitaondolewa au kupunguzwa.
  2. Viwango vya Kodi anazotozwa mwananchi ni kubwa mno.
  3. Mfumo mbovu wa kodi unaosababisha mianya mingi ya ukwepaji kodi.
  4. Wageni wanapewa misamaha ya kodi kiholela na kiupendeleo.
  5. Kiwango cha VAT kipo juu sana na mzigo kwa wananchi wengi hasa VAT katika vifaa muhimu vya afya na hasa kwa akina mama.

Serikali ya CHADEMA itafanya yafuatayo kuboresha mfumo wetu wa kodi.

  1. Itaweka wazi kodi zote zinazotozwa – mwananchi lazima ajue kodi anayotozwa.
  2. Tutapunguza VAT ili iendana na viwango vya nchi nyingine za Afrika Mashariki.
  3. Tutaziba mianya ya ukwepaji kodi na kutoa misamaha pale tu itakapobidi na lazima iidhinishwe na bunge.
  4. Tutapanua wigo wa kukusanya kodi.
  5. Tutafuta kodi katika bidhaa zote muhimu kwa akina mama wajawazito na watoto wao na pia vifaa vya elimu na vyakula vinavyozalishwa ndani ya nchi.
lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl