lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Mikakati ya Chama
»CHADEMA ni msingi
»Kuandaa Viongozi
»Wabunge/Madiwani
»Kueneza Sera
»Mfumo wa uchaguzi
»Elimu ya siasa
»Makao Makuu
»Chaguzi zijazo
b.part
Mengineyo
»Habari Mpya
»Makala mbalimbali
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2
Wabunge na Madiwani

Mpango Mkakati wa Tatu kwa 2006 -2010

Kujenga uwezo wa wabunge na madiwani wa CHADEMA na kuwashirikisha kujenga taswira ya chama kwa michango yao bungeni, katika halmashauri za wilaya na kuboresha utumishi wao kwa wananchi.
  1. Pia kutawekwa mfumo wa wabunge kuchangia raslimali na muda kwa ajili ya shughuli za chama.

  2. Idara mpya ya mambo ya bunge na halmashauri itaanzishwa kuwasaidia wabunge na madiwani kutekeleza wajibu wao kwa wananchi na chama.

  3. Kanuni za kusimamia shughuli,mwenendo na maadili ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa wa CHADEMA na halmashauri zinazoongozwa na CHADEMA zitaandaliwa ambazo pamoja na mambo mengine zitaelekeza nidhamu na wajibu wa pande zote.


...Mkakati wa Nne  Kutangaza Sera za chama
lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl