Kutayarisha chama kwa Uchaguzi
2009 na
2010.
- Kuanza mapema kukusanya/kuandaa raslimali kwa ajili ya uchaguzi wa serekali za mitaa 2009 na uchaguzi mkuu 2010; Hivyo mfuko wa uchaguzi utaanzishwa; Kutambua, kujenga mawasiliano na kuwaandaa wagombea watarajiwa mapema na Kuhakikisha chama kinashinda katika chaguzi ndogo zitakazojitokeza hususani katika ngazi ya ubunge.