lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Mengineyo
»Makala zingine
»Habari Mpya
»Matamko ya Chama
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
»Katuni
b.part
Barua Pepe
   
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2

Makala za Mwenyekiti Mstaafu

26 Januari 2007     
Mjadala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umetekwa
"...Ni jambo la kusikitisha kwamba mjadala unaoendelea Tanzania sasa kuhusu hatma ya Jumuiya ya Afrika Mashariki unaonekana kutekwa na watu waliokata tamaa au na watu wasioamini katika sababu na misingi mikuu ya ushirikiano..."

24 Januari 2007     
Wakulima lazima wawe huru
"...INAONEKANA kama serikali na wananchi wengi wanadhani wakulima ni watu ambao hawana uwezo wa kuamua mambo yanayoweza kuwasaidia katika maisha yao. Amri na maagizo yanayotolewa na watawala kama wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hata mawaziri, siku hizi, yanadhihirisha dhana yao kwamba wakulima hawajui au hawawezi kuamua lolote linaloweza kuwasaidia....."

17 Januari 2007     
Amri na maagizo yamezidi
"...WAKATI wa enzi za Mwalimu tulikuwa na msemo wa kimombo uliosema ‘Argue. Don’t shout’. Msemo huu ulisisitiza kwamba tujadili mambo au tubishane kwa utulivu na kwa mantiki, na si kwa kupaza sauti na kupiga kelele. Sasa inaonekana msemo huu umesahaulika kabisa, hasa pale viongozi katika Awamu ya Nne wanapotaka mambo yao yafanyike haraka...."

10 Januari 2007     
TAKURU imekosa hoja, iwajibike
"...IMENITIA bumbuazi na kunikatisha tamaa kabisa kusoma tangazo lililochapishwa katika gazeti la Tanzania Daima la Januari 6, 2007, ambalo lilitolewa na Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU). TAKURU walitoa tangazo hilo kujibu wakifanya kile ambacho awali kilifanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...."

11 Agosti 2006     
Kufukuzwa kwa Wakulima Mbarali
"...Badala ya kuwafukuza maelfu ya wakulima walioharibu mazingira Mbarali, Serikali ingepeleka huko wahandisi wa maji na wataalamu wa kilimo kufundisha na kusimamia hawa kulima juu ya matumizi bora na endelevu ya maji na ardhi...."

28 Julai 2006     
These Precedents are Dangerous
"...The CCM Government’s announcement that the farmers of Mbarali will lose their holdings because they have not observed the correct environmental regulations is a very dangerous precedent. It is understood that these Tanzanian citizen farmers have operated these farms for over ten years...."
25 Septemba 2005     
Kukabiliana na Tatizo la Njaa Tanzania
"...Endapo dalili za ukame zinaonekana, wafugaji washauriwe (au hata walazimishwe) kuuza na kuipunguza kabla mifugo haijakonda. Haiingii akilini kwamba mfugaji mwenye ng’ombe zaidi ya 200 huko mkoani Shinyanga eti anakufa njaa! Pia hata mifugo yake inakufa njaa..."
11 Agosti 2005     
Simile, Rais asichaguliwe na wachache!
"...nahofia sana hatma ya nchi yetu endapo kiongozi wetu baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2005 atakuwa ni mtu aliyechaguliwa kwa mizengwe, ujanjaujanja, rushwa, wizi wa kura na vitisho, na kwamba licha ya faulo hizo, akapata chini ya nusu ya kura...."
3 Juni 2005     
Kuimarisha Demokrasia na Maendeleo Tanzania
"...mtindo wa serikali ya CCM wa kutumia fedha za umma kama ruzuku kwa wagombea unashawishi wanasiasa wengi ambao sio "serious" na ni wababaishaji tu, kujiingiza katika uchaguzi na kudhoofisha upinzani kwa CCM. Wananchi wapiga kura wanafadhaishwa na msururu wa wagombea ..."
4 Mei 2005     
How state intrigue wrecked opposition unity
"...give up the procedure we had thrashed out for the nomination of a presidential candidate and agreed to support Mrema. There was not even a formal written agreement between NCCR and Chadema as to how we would co-operate. To date, I wonder whether there was an outside hand wreaking havoc and confusion in the opposition in order to ensure that CCM won....."


lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl