lf.bevel
MWANZO CHAMA SERA KATIBA TUUNGE MKONO UCHAGUZI TUWASILIANE
banner
Historia ya Chama
»Kabla ya upinzani
»Chimbuko la Chama
»Kutambulishwa
»Mkutano Mkuu
»Usajili wa kudumu
»Kauli mbiu
b.part
Mengineyo
»Habari Mpya
»Makala mbalimbali
»Midahalo
»Blogu za wanachama
»Picha za matukio
»Maoni Yenu
b.part
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
rt.bt.spc
bt.part2

Mkutano Mkuu wa Kwanza

CHADEMA ilifanya mkutano mkuu wake wa kwanza katika kituo cha Msimbazi kwa siku 3 (kuanzia tarehe 15 hadi 17 Disemba 1992). Mkutano huu ulihudhuriwa na wajumbe kutoka mikoa yote ya Tanzania. Pamoja na mambo mengine, Mkutano Mkuu wa Kwanza ulichagua viongozi wa chama kama ifuatavyo:

1. Ndg. Edwin Isaac Mbiliewi Mtei Mwenyekiti
2. Ndg. Ali Suleiman Ahmed Makamu mwenyekiti (visiwani)
3. Ndg. Brown Ngwilulupi Makamu Mwenyekiti (bara)
4. Ndg. Bob Nyanga Makani Katibu Mkuu
5. Ndg. Mustafa. S. Simba Naibu Katibu Mkuu (visiwani)
6. Ndg. Eric Rashid Mchatta Naibu Katibu Mkuu (bara)
7. Ndg. Eric Rashid Mchatta Katibu Mwenezi


lf.curl lf.curl2 rt.curl2 rt.curl