Safari ya Canada
Nimeingia Canada jana usiku kama saa mbili hivi. Leo ninaanza ziara ya kutembelea Bunge la Canada (House of Commons). Katika ziara hii ninatarajia kukutana na baadhi ya wabunge a viogozi wa chama cha Conservative cha Canada (ambacho ndio chama tawala) cha Waziri Mkuu Stephen Harper.
Katika ziara hii nimefuatana na wabunge wengine kama Ndugu Ngwilizi, Mkuchika, Sanya na Sakaya. Ninaamini nitajifunza mambo mengi hapa Ottawa.
Nikiwa na jambo jipya na pia picha nitawajulisha.

3 Comments:
This post has been removed by the author.
11:23 AM
This post has been removed by the author.
1:00 PM
Mhh. Hata hivyo Brother, mimi ni mmoja kati ya vijana wa CHADEMA tulikuwa wote kwenye dinner party ya vijana wafanyakazi iliyofanyika Istana Restaurant ni kiongozi wa vijana Moshi. Sasa ni mfanyakazi ktk kampuni ya THE CORPORATE IMAGE kama marketing na Graphic Designer, Kama una kazi yoyote ya printing like a T.shirts,kaps, wheelcovers,Banners,Coffee mugs,Flayers,etc, Nakuomba uwasiliane nami muda wowote nitakufanyia kazi yako vizuri kwa muda mfupi na kwa gharama nafuu sana. Pia tuna Embroidery machine yenye high quality. Pamoja na kuwa siyo sehemu yake kuacha message ka hii, niwie radhi ndugu yangu mpendwa. Email yangu ni deusmallya@yahoo.com
1:13 PM
Post a Comment
<< Home