Nimekusikia ukibisha hodi. Amani iwe kwako. Karibu uketi jamvini kwangu. Hapa utapata mwanya wa kupata hoja zangu na mambo mengine kadha wa kadha. Jisikie kwako, uko huru nawe kutoa hoja zako. Mimi naamini "Kizazi Kipya, Maisha Mapya", tuitumie TEKNOHAMA kuleta "Mabadiliko ya Kweli, Uhuru wa Kweli", Nitaendelea............
