top_boda
left_boda
left strip
CHAMA
SERA
KATIBA
TUUNGE MKONO
UCHAGUZI
TUWASILIANE
strip
right_boda
top.separator
left.spc
mid.spc
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA kinataka Watanzania waelewe kuwa Mabadiliko ya kweli yataletwa kwa kubadilisha mfumo mzima wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kilekile, chenye uoza uleule, wakiendeleza yaleyale kwa ari, nguvu na kasi mpya. Haya yamethibitishwa na Serikali ya awamu ya nne kwani sera na juhudi zao zimeambulia kutuletea usanii mpya, maahadi mapya na hakuna jipya; Kwao maisha bora ni kwa kila fisadi!
right.spc
bot.spc
Tamko la Kamati Kuu la Septemba 2008
Kamati Kuu, imetafakari kwa kina nafasi ya CHADEMA kama chama kiongozi katika kusimamia mabadiliko makubwa yanayotokana na kuyumba kwa dola...
lf.curl3 lf.btn rt.curl3
Tamko dhidi ya kauli ya Mkulo
Tumeshtushwa na kusikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Waziri wa Fedha Mhe. Mustafa Mkulo kwamba fedha za EPA hazikuwa za Serikali wala BoT...
lf.curl3 lf.btn rt.curl3
Bajeti ya Kambi ya Upinzani 2008/09
Hotuba ya kiongozi wa Upinzani Mhe. Hamad Rashid Mohamed (Mb) Wizara ya Fedha kuhusu Makadirio na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2008/2009...
lf.curl3 lf.btn rt.curl3
Soma Matamko Mengine ya Chama
»Orodha ya Mafisadi (List of Shame)
»Taratibu za Uchaguzi ndani ya chama
»Tamko la Ushirikiano wa Wapinzani
»Matamko Mengine
lf.curl3 lf.btn rt.curl3
Tafuta
chadema rally
tp.sechBox
left right
bottom
lf.sechBox
bt.sechBox
rite.tafuta_rally
Habari Mpya
2008/10/2
Salamu za rambirambi kwa vifo vya watoto Tabora
Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watoto na vijana wenzetu wadogo vilivyotokea Tabora....
2008/9/25
Hatujaridhika na hatua za serikali kuhusu kero zetu
Malipo ya Milioni 152 kwa siku yasitishwe, Fedha zilizolipwa Dowans zirudishwe, wahusika wapelekwe mahakamani...
2008/8/31
Serikali iache kumlinda Lowassa
Lowassa ni mmoja wa mizizi ya ufisadi wa Richmond. Tunataka akamatwe, ahojiwiwe na achukuliwe hatua za kisheria...
Katuni ya wiki
     Pata habari zingine
Mpango Mkakati 2006-10
»CHADEMA ni Msingi
»Kuandaa Viongozi
»Kuwajenga Wawakilishi
»Kutangaza Sera za Chama
»Uchaguzi Huru na wa Haki
»Elimu ya Kisiasa kwa raia
»Uwajibikaji Makao Makuu
»Kujitayarisha kwa Chaguzi
bt.boda rt.curl1
Mabaraza ya CHADEMA
»Baraza la Wanawake
»Baraza la Vijana
»Baraza la Wazee
bt.boda rt.curl1
Jiandikishe upate Jarida
lf.curl2 pepe.left pepe.right rt.curl2
Barua Pepe
jina la mtumiaji:
neno-siri
lf.curl2 pepe.left pepe.right rt.curl2
chadema rally
bonyeza upate picha kubwa ya bendera